Hawa ndio wenyeji,waimbaji wa kwaya ya vijana Moshi Central wakiimba. |
Hawa ndio wenyeji,waimbaji wa kwaya ya vijana Moshi Central wakiimba. |
Hawa ndio wenyeji,waimbaji wa kwaya ya vijana Moshi Central wakiimba. |
Aliye mbele ni mwinjilisti Steve Mzava ndiye alisimamia changizo na promosheni siku hiyo na waliosimama ni wadhamini wa kwaya ya vijana Moshi Central sda. |
Hawa ni waimbaji kwaya ya Vijana Sango Same wakihudumu kwa njia ya nyimbo katika siku ya changizo. |
|
|
Hawa ni kwaya ya Njoro Family wakihudumu katika siku ya changizo kanisani Moshi Central. |
|
Waimbaji wa Golden Trumpet wakijiandaa kuimba katika siku ya changizo. |
Waimbaji wa Golden Trumpet wakijiandaa kuimba katika siku ya changizo. picha na Dickson Charles(Moshi) |