Jumatatu
ya wiki hii ni tukio pekee kwa muimbaji wa nyimbo za injili wa injili
toka kanisa la Waadventista Wasabato Temeke kwa kupata fursa ya kuimba
wimbo ulio na maudhui ya kupambana na kuzuia rushwa.
Yamefanyika hayo wakati Rais
Kikwete alipofungua mkutano wa 12 wa shirikisho la Taasisi za kupambana
na kuzuia Rushwa kwa nchi za SADC katika Hotel ya Malaika iliyopo
jijini Mwanza
Audio-cd hii ina nyimbo 10 na jina la Albam"UMEFANYA TENA"
Kwa maulizo na jinsi ya kuipata piga sasa +255714-531-444
|
Mwimbaji
Angel Magoti akiwa na Rais Kikwete na pembeni yao ni mwimbaji Tumaini
wakiwa katika maongezi mara baada ya ufunguzi wa maswala ya kupambana na
kuzuia rushwa. |
|
Mwimbaji
Angel Magoti akiwa na Rais Kikwete wakiwa katika maongezi mara baada ya
ufunguzi wa maswala ya kupambana na kuzuia rushwa. |
|
Mwimbaji
Angel Magoti akiwa na Rais Kikwete wakiwa katika maongezi mara baada ya
ufunguzi wa maswala ya kupambana na kuzuia rushwa. |
|
Mwimbaji
Angel Magoti akiwa na Rais Kikwete na hapa wakiwa wameshika audio-cd ya
mwimbaji huyo na baadae wakawa katika maongezi mara baada ya ufunguzi
wa maswala ya kupambana na kuzuia rushwa. |